WISE MAN
Polisi, form 4 division 4 na kozi ya miezi sita.
Basic salary 248,000
makato 46,000
take home 202,000
... hizi wanapokea kila mwisho wa mwezi tar 21 mpaka 28.
Bado wana posho ,100,000 wanapokea kila tar 13 mpaka 15 wanakua wamesha pokea.
Jumla ya kipato kwa mwezi
Basic salary 248,000+ 100,000 posho=348,000.
348,000-46,000 kodi na makato=inabaki 302,000.
nb.
Hii ni kwa polisi wote ambao ni 4m4 ndio wanaanza kazi.
Baadhi wanaokaa uraiani wana posho ya nyumba 30,000 kila mwezi ila hii ni kwa baadhi tu.
Je mwalimu form 4 (ualimu grade A, 2 years course) analipwa kipato kama hiki?
Kama wana elimu sawa je nini tofauti ya kimahitaji kati ya mwalimu huyu na polisi?
Cwt inatambua haya?
Lini mwalimu wa tz atatetewa?
Bado natafuta data kwa polisi mwenye elimu kama yangu 4m 6 na chuo kama atakua analipwa sawa na mwalimu mwenye Diploma au degree,
Walimu tunawajibu wa kuikomboa taaluma yetu.
Nawasilisha.

No comments:
Post a Comment