Tuesday, January 3, 2012

TUSHANGAE MIMI NAWE KIDOGO KUHUSU SWALA HILI

NINI TAFSIRI YK? Dharau au nn.,. Mh Mulugo n/wazir wa elimu wakati anatangaza matokeo ya darasa la 7 amesema wanafunz wanaoingia kidato cha kwanza watafanya mtihan wa mchujo halafu watakaofeli watarudishwa shule walizotoka yaan mcngi, km hyo haitoshi WALIMU WA HUYO MWANAFUNZI WATAWAJBISHWA ETI KM AMEFELI IMEKUWAJE ALIFAULU MTIHANI WA TAIFA?! Ingawaje wazo ni zuri naliunga mkono tatzo langu ni mwl KUWAJIBISHWA yeye anahusikaje hapo kwan km ni wadanganyfu wanawachukulia hatua wakiwabain ikiwemo kuwafutia mitihan yao na hatua zngne. Km mitihan ynyw ndio hyo ya kubahatisha mpaka hesabu kwann wasifaulu! Je hii ni dharau kwe2 walimu au nn? Naomba mawazo yenu.
Na Daniel Daudi
Kwa msaada wa facebook

No comments: