BAADHI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WAKIZUNGUMZA NA WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA WAKIWA KATIKA KAMBI YAO YA SHULE YA SEKONDARI YA BENJAMINI MKAPA
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Bw. Meck Sadik amesema kuwa watu hao inabidi wafanye utaratibu wa kuhama kwenye mashule hayo kupisha wanafunzi kuendelea na masomo pindi shule hizo zitakapofunguliwa tarehe 9/1/2012, akisisitiza zaidi alisema kwa wale wanafunzi wote ambao wameathirika watapata huduma zote ambazo kwa namna moja ama nyingine kutokana na matatizo yaliyowakumba watashindwa kufanya vizuri kwenye maandalizi ya kurejea shuleni wanafunzi hao.
No comments:
Post a Comment