Walimu na wadau mbalimbali jana walipewa pongezi na mkuu wa wilaya hiyo Bwana Thomas Sabaya, mbali na kutoa pongezi hizo pia aliwaeleza walimu na wadau hao kuwa hawawezi kuendelea kwa pointi hizo mbili yaani kutoka 65% mpaka 67% tu, hivyo basi kutoka asilimia 67 wanahitaji kuongeza juhudi zaidi ili kuhakikisha mambo yanakuwa mazuri zaidi.
mambo ambayo yalitia fora katika kikao hiki ni juu ya walimu hao kushuhudia ushirikina ambao kwa wao waliamini kuwa ndio uliosababisha kufeli kwa watoto hao hii ni kwa upande wa walimu ambao shule zao zimefanya vibaya imma kwa upande wa pili yaani kwa walimu ambao shule zao zimeongoza wao walisema kuwa nio kutokana na kuwa na ushirikiano na wazazi hivyo wazazi walitakiwa kuendelea na ushirikiano huo ili kila kitu kiende vizuri zaidi
ukiangalia msomaji hapa unaona kuna tofauti kubwa ya kimaelezo baina ya walimu ambao shule zao zimefanya vizuri na wale ambao shule zao zinafanya vibaya, sasa naomba utafakari halafu utanijulisha mambo mengi zaidi juu ya hili

No comments:
Post a Comment