Tuesday, January 3, 2012

MAWAZO YA MDAU WA ELIMU HAYA

RAISI J.K. KIKWETE NA SERIKALI YAKE YA CCM WAMETUNUKU WALIOSHIRIKI KUIFIKISHA TANZANIA MPAKA MIAKA 50 LEO KATIKA VIWANJA VYA IKULU. MIONGONI MWAO WANASIASA, MAAFISA USALAMA, WALIONESHWA KUWA SERIKALI INAWAJARI. WAKATI UKURASA NAMBA 12 UNAOTOA TAFSIRI YA MANENO "PUBLIC SERVIVE" UMEJUMUISHA WALIMU KUWA MIONGONI MWA SEKTA ZINAZOTAMBULIKA CHINI YA 'SHERIA ZA UTUMISHI WA UMMA NA. 8 ZA MWAKA 2002'
NA TA...FSIRI ZAKE KISHERIA (THE PUBLIC SERVICE REGULATIONS OF 2003, AND THE PUBLIC SERVICE SCHEME,2003). KWA KUTOWAPA KIPAUMBELE WALIMU AMBAO NDIYO CHANZO CHA WOTE WALIOPENDEKEZWA, KUITWA IKULU NA KUPEWA NISHANI ZA MWENGE, SERIKALI INAENDELEZA MISIMAMO YAKE YA KUIDIDIMIZA SEKTA YA ELIMU NA WALIMU. INATHIBITISHA KUWA WANASIASA NA VIONGOZI WALIOONEKANA VIWANJA VYA IKULU KUWA HAWATOFAUTIANI NA ZAWADI YA ONGEKO LA POSHO ZA WABUNGE KWA SIKU 330000/= AMBALO NI CHINI YA MSHAHARA WA MWALIMU NGAZI YA GRADE 3A NA STASHAHADA. KIWAPI KINACHOWARIDHISHA NINYI WALIMU WAOGA, WAVIVU WA KUSOMA NA KUFUATILIA HAKI ZENU KWA KUWAADABISHA WALE WANAOTUDHURUMUI???

No comments: