Monday, December 12, 2011

WANAMTANDAO MARAFIKI WA ELIMU KANDA YA ASHARIKI NA KUSINI WAKUTANA MOROGORO KUANDAA KATIBA YAO




Baadhi ya wanamtandao hao ambao walionekana kuwa bize sana kutokana na kazi nzito ya kuandaa rasimu ya katiba yao iliyochukua takriban masaa tano ambayo ilibeba baadhi ya viongozi wa kanda na wajumbe wake.

kama wewe ni rafiki na unahisi unipenda sana elimu na upo tayari kuitetea  na upo kwenye mikoa ya mtwara, lindi, dar es salaam, pwani na morogoro basi wasiliana na viongozi kupitia namba 0718243498 kwa maelezo zaidi ili tukutumie rasimu hii tupate mchango wako

picha, habari na (mwanamapinduzi)

No comments: