Monday, December 12, 2011

PAMOJA NA HALI MBAYA, TANZANIA YAONGOZA STADI ZA ELIMU AFRIKA MASHARIKI NA KUSINI



Tanzania imeshika nafasi ya kwanza kwa stadi za elimu ikifuatiwa na mauritius na kisha swaziland katika stadi za elimu kiujumla, taarifa hiyo imetolewa na shirikisho linalofuatilia masuala ya kielimu katika ukanda huo.

Kwa mujibu wa shirikisho hilo nchi za malawi, zambia, lesotho na uganda zilishika nafasi ya mwisho kabisa. kwa upande wa blog hii tunapenda kuwauliza wasomaji wetu kuwa kutokana naatatizo tuliyonayo kwenye nchi yetu ya tanzania lakini bado tunaongoza je hali ya elimu kwenye ukanda huu itakuwaje?

kwa upande wetu tulivyoipata tu habari hii tulishtuka na kutaka tusaidiane kwenye kuitafakari kwa makini habari hii na utafiti huu kwa ujumla

TUTAFAKARI NA KAMA UNA MAONI YOYOTE YALE NAOMBA UTUTUMIE KUPITIA NAMBA ZETU ZA SIU NA NJIA YA EMAIL ABAYO TUMEIWEKA KWENYE BLOG HII

No comments: