BAADHI YA WANAFUNZI WA NDANDA SHULE YA SEKONDARI NA WALIMU WAO
Kwa wale wanaosoma NDANDA high School au ndugu zao wanatangaziwa kuwa wawasiliane na mwanfunz mwenzao OMAR SHARIF AMIR mkoa amewataka wajikusanye na wazaz wao wakaombe msamaha kwa AFSA ELIMU ili waweze kurud shuleni 0653819998
NA kabuga kanyegeri
No comments:
Post a Comment