Mwanachuo wa chuo cha theofilo kisanji alikutwa akifanya vitendo vya kichawi huko mbeya mchana kweupee baada ya kujaribu kutaka kuwachezea wenzake na kukuta kuwa wenzake ni wakali zaidi yake
Mwanachuo huyo ambae jina lake halikuweza kupatikana mapema alithibitishwa na baadhi ya watu kwakusemekana kuwa ni mwanachuo wa chuo hicho aliamua kukikacha kitabu kwa muda na kutumbukia kwenye sayansi hiyo ya asili na kukutana na wanasayansi wenzake ambao ni zaidi yake.
wakazi wa eneo hilo wamesema kuwa tabia za washirikina kupenda kujaribu kufanya mambo yao eneo hilo imekithiri sana kwani ni juzi tu habari kama hiyo ilitokea kwa kijana mwingine sehemu hiyohiyo hivyo kuwataka watu kufanya kazi kwa bidii na kuachana na tabia kama hizo ambazo zinarudisha nyuma maendeleo ya watanzania walio wengi
kwamaelezo zaidi ya kuwapata wahusika wa chuo hicho kuthibitisha usajili wa mwanafunzi huyo, endelea kusoma blog hii na tukifanikiwa tutakuletea
PICHA KWA HISANI YA STANSLAUS LAMBATI

No comments:
Post a Comment