Mwanafunzi wa shule ya msingi sisimba akiimba kwa uchungu sana siku ya ukimwi duniani kuwakumbuka wale wenzetu wote waliofariki kwa ugonjwa hatari sana wa ukimwi Tanzania
Mungu awasamehe dhambi zao wale wote walio tangulia na azirejeshe roho za marehemu mahala pema peponi
AAMEEN!!
Picha kwa hisani ya mbeya yetu
No comments:
Post a Comment