Lazima tukuulize habari za elimu bora, ambayo mpaka sasa yaonekana kuwa bado inatambaa. Elimu hii tusiiangalie kwa idadi ya vyuo, idadi ya wanaopata elimu, wingi wa shule za kata au mikopo ya ya elimu ya juu, la hasha, tuangalie kiwango cha elimu wanayopata watoto wetu. Je, kinawasaidia kuwapa ufahamu wa kutosha katika ulimwengu huu wa sshindani?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment