Thursday, November 17, 2011

WASICHANA SHULE NZURI IMEANZISHWA MOROGORO


SHULE YA SEKONDARI YA KISASA YA LA MIRIAM

Mmoja wa wajasiriamali na mmiliki wa shule ya sekondari ya wasichana ya La Miriam,Ndugu Joel Mnyuku akiwa mbele ya lango la kuingilia shuleni hapo,shule hii ni miongoni mwa shule za bweni za kisasa kwa wanafunzi wa kike hapa nchini iliyofunguliwa hivi karibuni ipo Mkundi,katika Manispaa ya Morogoro

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya La Miriam

No comments: