Mwalimu Paul LaDuke | Friday, November 18, 2011 4:06 AMMwalimu wa kiume mtaalamu wa somo la hisabati katika shule ya kikristo nchini Marekani amefukuzwa kazi baada ya kushusha nguo zake darasani na kupiga punyeto mbele ya wanafunzi wake. Alikuwa akipiga punyeto kwa siri mbele ya wanafunzi wake kwa miaka 10 iliyopita. |
Mwalimu Paul LaDuke mwenye umri wa miaka 75 amefukuzwa kazi baada ya miaka 26 ya kufundisha somo la hisabati kwenye shule ya Schaumburg Christian School iliyopo Chicago nchini Marekani.
Mwalimu Paul amekiri mbele ya polisi kuwa kwa miaka 10 iliyopita alikuwa akijichua sehemu zake za siri mbele ya wanafunzi wake.
Ijumaa iliyopita, mwalimu Paul kama kawaida yake alikuwa akifundisha somo la Algebra, aliwapa wanafunzi wake zoezi la hisabati na kwendaa kukaa kwenye deski maalumu la walimu.
Alijifunika kwa kutumia koti lake na kushusha suruali yake hadi magotini na kuanza kujichua mwenyewe sehemu zake za siri huku akivuta imeji za wanafunzi wake wa kike.
Kwa bahati mbaya siku hiyo, baadhi ya wanafunzi wake walishuhudia tukio hilo na kumripoti mwalimu huyo kwa uongozi wa shule.
Mwalimu Paul alikiri kwa maandishi alipofikishwa polisi kuwa kwa miaka 10 iliyopita ikiwemo siku hiyo ya ijumaa alikuwa akipiga punyeto mbele ya wanafunzi wake darasani.
"Alikiri pia kuwa alikuwa akipenda zaidi kufanya hivyo mbele ya wanafunzi wake wa kike", taarifa ya polisi ilisema.
Siku hiyo kulikuwa na wanafunzi 13 darasani ambapo 9 walikuwa na umri wa miaka 16 na wanne waliobaki walikuwa na umri zaidi ya miaka 17.
Mwalimu Paul alitupwa rumande kwa kosa la kuwaonyesha watoto masuala ya ngono huku dhamana yake ikitajwa kuwa ni dola 40,000. Alipigwa marufuku kukaa karibu na watoto au wanafunzi wenye umri mdogo.
No comments:
Post a Comment