Baadhi ya wanafunzi wamekutwa wakigombea kupata maji ambayo hayakufamika mara moja yana usalama wa kiasi gani kule mjini Songea mkoani Ruvuma, watoto hao bila kugungua kuwa wapo katika hatari kubwa walikuwa wakionekana kuwa wanakifurahia kitendo cha kunywa maji hayo kutoka katika bomba hilo pichani
wanamapinduzi tunashauri kuwa wazazi walimu na wadau mbalimbali kushirikiana kwa pamoja kuhakikisha watoto wetu wanaishi kwa usalama na amani kwa kusaidiana kuwakemea watoto hawa pindi tutakapoona kuwa wanakwenda kinyume na matakwa ya jamii kiafya , kielimu na mengine mengi
No comments:
Post a Comment