KUTOKANA NA MAMBO KAMA HAYA
wadau tunatakiwa tuipiganie elimu yetu nchini tanzania
hii ni CV ya kijana ambae alikuwa akitafuta
kazi katika kampuni ya
ulinzi
Dr. mkumbo akiongea jambo katuka kongamano hilo pembeni aliyekaa ni prophesor maarufu sana Tanzania miaka ya 80 propesor HERME MOSHA anaefuatia ni Ayoub ryoba ambae alikuwa mwenyekiti wa kongamano na kulia kabisa ni Dr. hillary Dachi
shughuli hii ilifanyika chuo kikuu cha Dar es salaam ikiwaunganisha wadau wengi wa elimu kuhusu namna ambavyo elimu inavyokwenda nchini kwetu
watu wengi sana walihudhuria kiasi watu wengine kukosa hata nafasi ya kuzungumza kutokana na muda na wingi wa watu hao na kwa upande mwingine kwa kiasi kikubwa madhumuni ya kongamano hilo yalifikiwa ingawa kutokana na sababu zilizo nnje ya uwezo, waziri wa elimu wa zamani mh. Jackson Makweta hakuweza kuhudhuria
No comments:
Post a Comment