Wednesday, December 28, 2011

KUMRADHI KWA WANAMAPINDUZI NA WAPENZI WA BLOG HII

Naomba kuchukua nafasi hii kuwataka radhi wapenzi wa blog hii kokote walipo kutokana na kukatika mawasiliano ghafla na kupelekea kukosa habari zetu tulizozizoea, kutokana na kupatwa na msiba mkubwa katika moja ya misiba mikubwa kwangu na hiyo kunifanya nisafiri mbali kwenda tanga na huko kufanya kukosa kabisa muda wa kutafuta habari na kuziingiza. samahani sana kwa hilo ila niseme tu sisi sote ni wa mungu inshaalah kwake tutarejea, sasa nimerudi, majonzi yamepungua  na habari kama kawa

KARIBU

No comments: