
Mwalimu wa shule moja huko nepal alibuni njia mbadala kwa wanafunzi waliokuwa wasumbufu huku wanafunzi wenzao wakiangalia na kujifunza kuwa hawatakiwi kufanya mambo ya ajabu wawapo shuleni, walimu wa tanzania na wazazi wengine mnasemaje hapa?
KARIBUNI KWENYE BLOG YETU WADAU WA ELIMU
No comments:
Post a Comment