Friday, October 28, 2011

MGOMO

 WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MBURAHATI MJINI DAR ES SALAAM LEO TAREHE 27/10/2010 WAMEGOMA KUTOKANA NA MMOJA WAO KUGONGWA NA GARI NA KUUMIA VIBAYA NA HADI TUNAKWENDA MITAMBONI HATUJUI HALI YAKE, WANAFUNZI HAO KATIKA MGOMO WAO WANAISISITIZA SERIKALI KUWEKA MATUTA KUKINGA AJALI HIZO

No comments: